Pata dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza

Pata dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza

Riben

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
58
Reaction score
10
Dagaa ni safi na wana ladha nzuri. Bei ni jumla na rejareja, unaletewa ulipo kutokana na idadi utakayochukua. Niko Makumbusho Dar.

0755865251
 
Niwazuri sana kwasababu hata mimi huwanawaandaa huku lamadi simiyu wateja nunueni bila wasiwasi
 
Hata mimi niko Mwanza nina biashara hii hii ya kukaanga na kuuza dagaa, ninahitaji kama kuna mtu yuko Dodoma especialy pale Udom ambapo soko la dagaa wa kukaanga linakua siku hadi siku. Kama kuna mtu yuko interested we can seal deal niwe namtumia mzigo then anatuma pesa.

Dagaa wangu ni wa kiwango cha hali ya juu, nawawekea na viungo lukuki kuwapa rhythim ya peke yake.

Namba zangu ni hizi hapa 0766475414.

Karibuni
 
Back
Top Bottom