Hata mimi niko Mwanza nina biashara hii hii ya kukaanga na kuuza dagaa, ninahitaji kama kuna mtu yuko Dodoma especialy pale Udom ambapo soko la dagaa wa kukaanga linakua siku hadi siku. Kama kuna mtu yuko interested we can seal deal niwe namtumia mzigo then anatuma pesa.
Dagaa wangu ni wa kiwango cha hali ya juu, nawawekea na viungo lukuki kuwapa rhythim ya peke yake.
Namba zangu ni hizi hapa 0766475414.
Karibuni