Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Nov 3, 2012 #1 Anayekitaka kitabu cha bure soft copy ya kupika aingie hapa Recipe Cookbook - Download
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,402 Reaction score 2,550 Nov 3, 2012 #2 smartphone .... Android market .... play store ... you can get an application
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Nov 18, 2012 #3 Bujibuji said: Anayekitaka kitabu cha bure soft copy ya kupika aingie hapa Recipe Cookbook - Download Click to expand... Hakuna cha kibongo tushazoea mapishi yetu ya kiswahili yaghe
Bujibuji said: Anayekitaka kitabu cha bure soft copy ya kupika aingie hapa Recipe Cookbook - Download Click to expand... Hakuna cha kibongo tushazoea mapishi yetu ya kiswahili yaghe
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,710 Nov 18, 2012 #4 Quinty said: Hakuna cha kibongo tushazoea mapishi yetu ya kiswahili yaghe Click to expand... Yaaani..wanaume wa kisukuma mapishi hayo ya kudonyoa watayaweza wapi??.. Itabd ipatikane application ya swahili food.
Quinty said: Hakuna cha kibongo tushazoea mapishi yetu ya kiswahili yaghe Click to expand... Yaaani..wanaume wa kisukuma mapishi hayo ya kudonyoa watayaweza wapi??.. Itabd ipatikane application ya swahili food.
Quinty JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 462 Reaction score 74 Nov 18, 2012 #5 HEART said: Yaaani..wanaume wa kisukuma mapishi hayo ya kudonyoa watayaweza wapi??.. Itabd ipatikane application ya swahili food. Click to expand... Hahahaha inamaana wanaume wa kisukuma hawajui kupika au? Mara nyingi huwa naongia google natafuta link ziko kadhaa nzuri ambazo kila siku napitia na kuangalia nipike nini kipya.
HEART said: Yaaani..wanaume wa kisukuma mapishi hayo ya kudonyoa watayaweza wapi??.. Itabd ipatikane application ya swahili food. Click to expand... Hahahaha inamaana wanaume wa kisukuma hawajui kupika au? Mara nyingi huwa naongia google natafuta link ziko kadhaa nzuri ambazo kila siku napitia na kuangalia nipike nini kipya.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Nov 18, 2012 #6 .......asante..........