Pata DSTV Premium channels kwa kisumbuzi maalum bila malipo ya mwezi

Paje

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2010
Posts
1,185
Reaction score
486
Wakuu zile adapter kwa ajili ya kucheki DSTV bure zimewasili kutoka China jana. Nimezitest zipo powa.

NB: Hizi ni mpya sio zile za hawk wala sio zile za dongle zinohitaji dishes 2......hazina gharama.

Unahitaji free to air reciever preferably arisat kwani ndio zimejaa Kariakoo na ni cheap na zinapiga mzigo fresh. Haulipii popote, compeletely free
BEI YAKE NI LAKI 2 TU

Pia kina uwezo wa kufungua channels nyingi za canal+ za movies na sports. Hapo utaona ligi kuu zote za duniani, ila hii inahitaji dish dogo lielekee Kaskazini Mashariki na lile la DSTV lielekee Kaskazini Magharibu baadae madishi yote mawili unayaunga kwa diseq switch (kiungio kinauzwa buku 4 nearly 2 US dollars) na unapata mseto wa dstv+canal+ full burudani.......

But in most cases DSTV is more than enough.....
kwa anaeyehitaji ani PM kwani zipo chache
 
Nikinunua je utaniunganishia?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu paje,mimi teyari ninayo free dish,je kuunganishiwa DSTV nitahitaji dish jingine?
 
Mkuu weka namba yako ya simu kama uko seriouz na biashara
 
DSTV kukukamata itakuwa rahisi sana! btw hivi dstv watamshtaki kwa sheria gani?
 
Unawaharibia soko wenzio lazma wakulipue. Wao wanauza laki 4 bwana na wanakuunganishia hadi bedroom. Unapata premium swaaafi!
Dont quote me!
 
Kweli wachina ni noma sana.
Leo wanatuletea kifaa ambacho kitaweza kutuonyesha DSTV bure, kesho nadhani watatuletea kifaa cha simu na kuweza kupiga mitandao yote bure, keshokutwa watakuwa na kifaa cha kutuwezesha kutumia Internet bure!!! nk.
 
Weka namba za simu kama unafanya biashara kweli!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa mtu ambaye hana dish hiyo laki 2 ni pamoja na receiver, dish, na kufunga?
 
Mkubwa embu weka namba nasi ili tujue jinsi ya kuwasliana
 
Je itahitaji kutumia smart card yangy ile ile ya dstv au? Hebu fafanua hapo mkuu
 
mkuu ambao tuko mikoan unatusaidiaje?
coz na sisi tuna haki ya kula raha hizo za mujini bwana
 
Je itahitaji kutumia smart card yangy ile ile ya dstv au? Hebu fafanua hapo mkuu

huhitaji smart card wala reciever ya dstv. umeambiwa kua adapter special inamaliza mchezo wooote
 
ukifunga hicho kifaa. Je kuna haja tena ya kuweka software kwenye decoder?
 
Hiyo inakuwa na channel ngp? Hata hizo channel za mpira zapatikana mana ndio ugonjwa wangu...naomba nifahamishwe hilo, juu ya hiyo DSTV PREMIUM. Mana haya maving'amuzi yamenichosha.
 
Guarantee & Warranty ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…