Pata DSTV Premium channels kwa kisumbuzi maalum bila malipo ya mwezi

Mkuu mbona huweki namba zako mimi nataka hata kesho nije unifungie!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sikuonei wivu ndugu yangu ila watu wa dstv watakukamata asubuhi kweupe,au maisha ya kufanya kazi ya hivyo vidude yatakuwa mafupi sana maana wao wakikanunua kamoja kisha waingie nako kwenye maabara zao baada ya siku chache itakuwa Kiwewe tupa kule.
 
technically kinafanya kazi kwa kutumia valid subscription. hivyo hawawezi kublock. Only nina 6PCS. baas. I hope hawatoniwahi kunibana
 
Hiyo premium ina channel zipi nzuri? Za michezo, wanyama, movie?
 
mkuu Paje jaribu kujibu maswali uloulizwa kwa wazi kwani una haraka ya nini? manake unajibu jujuu. watu wanataka wajue usalama wa hela zao. pitia upya maswali uloulizwa uyajibu coz naamin hata kama mzigo uneisha utaleta mwingine. mia
 
Last edited by a moderator:
mkuu Paje jaribu kujibu maswali uloulizwa kwa wazi kwani una haraka ya nini? manake unajibu jujuu. watu wanataka wajue usalama wa hela zao. pitia upya maswali uloulizwa uyajibu coz naamin hata kama mzigo uneisha utaleta mwingine. mia

swali gani hilo mkuu. hebu weka wazi lipi halijajibiwa? hawa wachina wana valid subscription ya premium ya dstv. ambayo wameunga na server zao, hizi server ndio zinawasiliana na hiki ki adapter kuzifungua channels. hivyo mpango mzima unakuwa ni untraceable , and cannot be blocked.
soma internet au hata wikipedia kuhusu IKS yaani internet key sharing
 
Hiyo inakuwa na channel ngp? Hata hizo channel za mpira zapatikana mana ndio ugonjwa wangu...naomba nifahamishwe hilo, juu ya hiyo DSTV PREMIUM. Mana haya maving'amuzi yamenichosha.

super sports 1 hadi 10 ndio wanaweka karibu ligi zote kuu za duniani....
pia kina uweza wa kufungua canal+ channels ila hizi ni lugha ya kifaransa
 
Kwa mtu ambaye hana dish hiyo laki 2 ni pamoja na receiver, dish, na kufunga?

mimi nauza hiki kifaa tu.....sio fundi....wala siuzi madishi
lakini utahitaji yafuatayo
dishi dogo la 90 cm bei elfu 40
free to air reciever arisat bei elfu 60 hadi 80
na bila shaka TV ambayo tayari unayo
 
huu kweli ni utandawazi watu wanatangaza biashara ndani ya tangazo la biashara...................
Mkuu Paje jela inakunukia naiona ilee inakukaribia, mwenzako 1 huku zenjy tayari analiwa kisoda jela kafungwa na dstv kwa kuuza hivi vidude amekamatwa na viwili tu ila msala wake?:spy::spy:
 
Yuki modongo polomoka tutaipayaje au ni kwa Dar peeked take?
 
Kuna mtu unampa laki 5 unatumia Dstv bila kulipia maisha yako yote wala uhitaji kitu chochote kama ulishajiunga na Dstv hapo awali. Unatoa advance then mwezi mmoja majaribio utaona kama wamekata au la,,baada ya hapo unammalizia hela iliyobaki.
 
Sasa km hao wachina wana legal subscription kwa dstv kwann wewe ukamatwe kwa kuuza hizo adapter
 
Sasa mkuu,Kma nataka kuendelea kuona pia local channel itanibidi nitafute receiver nyingine tena au?pia dish lazima lielekee direction ya DSTV??
 
Kuna mtu unampa laki 5 unatumia Dstv bila kulipia maisha yako yote wala uhitaji kitu chochote kama ulishajiunga na Dstv hapo awali. Unatoa advance then mwezi mmoja majaribio utaona kama wamekata au la,,baada ya hapo unammalizia hela iliyobaki.
Huyu ndiyo mzuri, nipatie mawasiliano yk plz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu unampa laki 5 unatumia Dstv bila kulipia maisha yako yote wala uhitaji kitu chochote kama ulishajiunga na Dstv hapo awali. Unatoa advance then mwezi mmoja majaribio utaona kama wamekata au la,,baada ya hapo unammalizia hela iliyobaki.
Vyuma vimekaza sana wakati huu. Hivi huyu jamaa badi yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…