Pata Elimu jinsi ya kumkopa anayekudai

Pata Elimu jinsi ya kumkopa anayekudai

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,391
Reaction score
3,849
HABARI ZENU WAPENDWA.! KESHO JIONI NITAKUWA NA SOMO LA KUWAFUNDISHA JINSI YA KUMKOPA TENA MTU ANAEKUDAI. USIKOSE.

😎


😂
 
02/04/2018 Call: Mzee naomba unisaidie 20k nitakupa next week..
May
June
July
August
September
October
November
December


January 2019

February
March
April May
June
July 15/08/2019 Call: Mzee najua unanidai 20k nisaidie 30k iwe 50k mwisho wa mwezi mshahara ukitoka nakupa 😛😀
 
Aaaahh weeeeh!!!! Shubaamit kulipa tu shida nikukope tena tukikutana tunagawana majengo
 
Hilo somo Simple sana, kuna lila Somo la Kumkopesha Mtu Anaekudai.........
 
Habari za siku nyingi, habar za nyumban, watoto hawajambo, majirani nao hawajambo, na mbwa wako na kuku wako, vp lile shamba kule ipera, na mtoto wa Dada ako anaendleaj na wewe tena hujambo,.... hahahah salam za kirangi hizi (akhatayo) kasuvinyunyu
Ukikutana nae salam isiwe fupi.
 
Unamkopesha mtu halafu halipi anakuja kukukopa tena jioni unamkuta club anapiga gambe....
 
Back
Top Bottom