Pata elimu maana ni utajiri usio isha

SERVICES

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
9
Reaction score
0
Pata elimu maana ni utajiri usiyo isha je, unahitaji kujifunza kiingereza cha kuongea na kuandika kwa wiki chache? Je, nyumbani kwako una watoto walio darasa la 4 hadi la 7 au form 1 hadi 4 na ungependa wajifunze kiingereza cha kuongea, kuandika na kujibia mtihani? Je, unahitaji kujifunza kutumia compyuta? Tutakufuata popote ulipo ili tukufundishe kama unaishi maeneo ya vikindu, kisevule, mwandege na mbagala, malipo ni sh 3000 tu kwa kila masaa 2 au sh 17,000 kwa wiki/siku 7 ila na maelewano yapo kuhusu malipo,wahi mapema huduma hii mwisho mwezi wa tatu mwaka 2015 na itahamishiwa sehemu nyingine tanzania. Nitapokea simu tu na meseji sina muda wa kuchat hapa jamii forum simu: 0688850727 / 0712805697
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…