Pata elimu ya usafiri wa anga: Kwanini shirika lina ndege 131 lakini zinaruka 416 kwa siku?

Somo zuri ila ume rasha rasha hatari na inaonekana bado kuna mzigo wa detail umezama nao
 
Na mimi nitaanza kufakamia na kubughia viporo vya tende niweze kuposti threads nzuri kama hii.
 
Huu mkanganyiko upo kweli au umeutengeneza?
 
Hii namba inayopewa mfano ndege ya ATC kutoka JNIA kwenda Mwanza ni permanent? Maana kila nikienda Mwanza nasikia ndege namba TC 101
 
Hii namba inayopewa mfano ndege ya ATC kutoka JNIA kwenda Mwanza ni permanent? Maana kila nikienda Mwanza nasikia ndege namba TC 101
It is just a route
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…