astalavista
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 261
- 304
Naskia hii huduma haikubali kwenye line ambazo zimeunganishwa na mfumo wa lipa no, vp kuna ukweli?Mtanzania, Vodacom Tanzania imekusogezea huduma ya vifurushi vya SME BUNDLES kwa gharama nafuu kulinganisha na vifurushi vya kawaida.
Nipigie 0795790411 niweze kuiwezesha line ili kupata access ya hvifurushi hivi.
Hakuna gharama ya kuiwezesha line, kuhusu kujiunga ni mteja mwenyewe utajiunga hukohuko pasipo kutuma hela kwangu.
Karibu tuzungumze kama kuna maswali/maoni
View attachment 3516225
Line ambazo zinapata huduma ya staff bando na ambazo tayari zilishawezeshwa.Naskia hii huduma haikubali kwenye line ambazo zimeunganishwa na mfumo wa lipa no, vp kuna ukweli?
Vifurushi vya wiki havipoKheri ya mwaka mpya Mtanzania, upo ushuhuda WA baadhi ya watu kuwezesha line zao za Vodacom kupata vifurushi vya SME, na hakika wanafurahia punguzo kubwa kwenye vifurushi hivi.
Bado unayo nafasi ya kuiwezesha line yako sasa. Huduma ni buree, mtu yeyote akikuambia utoe fedha ili aiwezeshe line kimbiaaa haraka.
Nahitaji hii hudumaKheri ya mwaka mpya Mtanzania, upo ushuhuda WA baadhi ya watu kuwezesha line zao za Vodacom kupata vifurushi vya SME, na hakika wanafurahia punguzo kubwa kwenye vifurushi hivi.
Bado unayo nafasi ya kuiwezesha line yako sasa. Huduma ni buree, mtu yeyote akikuambia utoe fedha ili aiwezeshe line kimbiaaa haraka.
Havipo mkuu, ni siku 30Vifurushi vya wiki havipo
Tuwasiliane, 0795790411Nahitaji hii huduma
Nakuchek watsap sasahiviTuwasiliane, 0795790411
FreshNakuchek watsap sasahivi
Karibu sana Mkuu.Nilifikiri muda wa matumizi ni kuanzia miezi 5 kumbe ni siku 30 tu
NitakuchekKaribu sana Mkuu.
Karibu sanaNitakuchek