BBC wanaonekana kama mapandikizi ya CCM, maana hata ukisikia coverage yao kule Zenj na wanavyopresent ukweli wao ni kimkanda-mkanda au ki-ccm ccm kiaina, au kwa sababu wanajua Kaka Tido kapewa ulaji huko?? Wanawafevor! Tuendelee ku-observe! Uwongo utajitenga!