Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Ndugu,
Ninayofuraha kukutangazia kua kampala international university tawi la dar es salaam watatoa mkopo mpaka asilimia 50 kwa coz za miaka mitatu na 40% kwa coz za miaka minne mpaka tano kwa wanafunzi 1800! Namna yakunufaika na mpango huu nikuchagua chuo cha kiu kupitia TCU na ukichaguliwa apo basi utakua mmoja wawatakao nufaika.
Just imagine 50% bado hujaeka ela za bodi ya mkopo!
Nb; hii ni kwa watanzania tu maelezo zaidi tembelea www.kiu.ac.tz