last year kuna dogo div3 point 14 CBG alichaguliwa hapo bpharm,alipewa mkopo ila tatzo ada ilokuwa inabak ni kama em5 hiv so dogo hakwenda,akaamua kurist mitihani yote dogo kiroho safi kapga dv2 ya 9(flat B)..so kaaply tena upya but he never included kiu-dar.,labda wameamua kufanya hivyo ili kuvuta watu navyosikia %kubwa ya walochaguliwa hapo mwaka jana hawakwenda