Acehood
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,653
- 2,792
Salam wakuu. Kwa yeyote anayehitaji huduma ya kuandikiwa kazi yake iwe kwenye word, Excel au PowerPoint, ndani ya muda mfupi muda wowote ule kijana nipo hapa kwa huduma hiyo.
✓ Kwa upande wa Microsoft word nafanya Tsh. 500 kwa page moja.
✓ Kwa upande wa Microsoft Excel na PowerPoint nitafuata bei elekezi ya anayenipa kazi.
Malipo yatafanyika baada ya kazi kukamilika ili kuongeza uaminifu na ukamilifu wa kazi ndani ya muda uliopendekezwa na mtoaji kazi.
Kama kuna swali kuhusu tangazo hili nipo tayari kulijibu hapo chini kwenye comments.
Mawasiliano:
acehood1098@gmail.com
Lakini pia DM yangu ipo wazi muda wote. Asante 🙏🏾.