Pata huduma ya kufungiwa GPRS kwenye chombo chako. Pikipiki, bajaji, gari

delp307

Senior Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
160
Reaction score
125
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.

Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa

Kuna aina mbili za ufungaji wa GPS TRACKING SYSTEM

1) Full management tracking system
2) Basic trucking system

Leo nitazungumzia kwa ufupi aina ya pili ya ufungaji pamoja na changamoto zake

UFUNGAJI

Ni mfumo ambao unafungwa kwenye magari madogo,makubwa, pikipiki,bajaji, guta,baiskeli.
Ni mfumo rahisi kuufunga na kifaa( device) yake unaweza kuagiza na kukifunga, Mara nyingi vifaa hivi uwa vinatoka China
hivyo mafudi na watu binafsi wanaweza kuagiza na kufunga kwenye vyombo vya moto

CHANGAMOTO
Baada ya ufungaji kila kifaa (Device) uwa kinakuwa na application (Platform) yake inayo kuwezesha kuona chombo chako
kupitia simu ya mkononi au kompyuta. Application ( Platform) hizi huwa ni bure kwa kipindi cha miezi sita mpaka mwaka mmoja.
Hapo ndipo mafundi wengi wanawadanganya wateja wao kuwa Application hizo kuwa ni za bure.

Tatizo uanza baada ya miezi sita au mwaka hapo ndo utaona Device yako imesimama kuripoti na mara nyingi itakuambia DEVICE EXPIRE.

Hapo ndipo utamtafuta fundi wako naye mara nyingi atakua anakukwepa na hata akikupa ushirikiano mara nyingi watakwambia badilisha sim card hata hivyo njia hiyo aiwezi kutatua tatizo mwisho wa siku watakwambia kuwa device imekufa na watakushawishi ununue nyingine.

ambayo baada ya miezi sita au mwaka tatizo lilelile linajirudia tena.

UFUMBUZI
I SECURE TECHNOLOGY ----
kampuni inayojishughulisha na ufungaji wa GPS TRACKER pamoja na mitambo mingine ya ulinzi imekuja na suluhisho
la tatizo lako.
---- Kama GPS TRACKER inakwambia DEVICE EXPIRE Usihofu wasiliana nasi kwa namba

0710141917
na 0731827638
Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa na malipo nafuu vitu vya kuzingatia tutumie aina ya GPS TRACKER
iliofungwa kwenye chombo chako cha moto, hakikisha kifaa chako kipo ON, Tutumie namba ya simcard
inayotumika kwenye simcard yako, vitu hivyo ni muhimu ili kujua kama GPS TRACKER yako inaingiliana na mifumo yetu
KUMBUKA KURECHARGE SIM CARD BADO LITABAKI KUWA JUKUMU LA MTEJA
tutakupa offer ya wiki 2 bure baada ya kufanikiwa kuunganisha mifumo yetu ili kukupa muda wa kufanya maamuzi jinsi ya
kulipia huduma hiyo

GHARAMA ZETU

GPS Tracker 150,000/-
Malipo kwa mwaka 30,000/= , tracking platform fee(Kwa mwaka wa kwanza hakuna haja ya kuliipia huduma hii)

TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI

0737 827638
0710 141917
 
Hamuwezi mkafungia mteja moja kwa moja pasipo malipo ya mwezi?
hilo pia linawezekana kufanya hivyo pasipo malipo ya mwezi . Tumeweka huduma ya malipo kwa mwezi kwa ajili ya wateja wanaotaka kuwa wanahudumiwa wakati wowote wanapopata shida kuhusu kifaa.
 
Kufungiwa moja kwa moja bei gan kwa pk pk?,,na kisiwe na usumbufu wa "device expire" yaan kipige kazi mwanzo mwisho non stop even if 5 years
 
Kama Hutaki malipo ya mwezi. Tutakufungia kwa 190,000. "Device expire" inatokana na wale wanaofunga hiyo device wanatakiwa walipie platform ili device ifanye kazi. Sasa wanakuwa wanajisahau au wanakuwa hawajali kutokana wameshapata hela.
 
kama pia una Device ambayo iko expired, Tulete sisi tuna activate kwenye platform yetu na utaendelea kutumia kama kawaida
 
Sorry kama cjakuelewa una maana iko kifaa nikihitaj unanifungia kwenye bajaj yangu nakuwa nalipia kwa mwez 50000
Gharama ya kifaa ni 150,000 na kwa mwaka kuna malipo tsh 20,000 kwa ajili ya kufanya kifaa kisifungwe
 
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.

Mfano ---- Sehemu chombo kilipo
---- Mwendokasi wake
---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika
---- Chombo kuwashwa na kuzimwa

Kuna aina mbili za ufungaji wa GPS TRACKING SYSTEM

1) Full management tracking system
2) Basic trucking system

Leo nitazungumzia kwa ufupi aina ya pili ya ufungaji pamoja na changamoto zake

UFUNGAJI

Ni mfumo ambao unafungwa kwenye magari madogo,makubwa, pikipiki,bajaji, guta,baiskeli.
Ni mfumo rahisi kuufunga na kifaa( device) yake unaweza kuagiza na kukifunga, Mara nyingi vifaa hivi uwa vinatoka China
hivyo mafudi na watu binafsi wanaweza kuagiza na kufunga kwenye vyombo vya moto

CHANGAMOTO
Baada ya ufungaji kila kifaa (Device) uwa kinakuwa na application (Platform) yake inayo kuwezesha kuona chombo chako
kupitia simu ya mkononi au kompyuta. Application ( Platform) hizi huwa ni bure kwa kipindi cha miezi sita mpaka mwaka mmoja.
Hapo ndipo mafundi wengi wanawadanganya wateja wao kuwa Application hizo kuwa ni za bure.

Tatizo uanza baada ya miezi sita au mwaka hapo ndo utaona Device yako imesimama kuripoti na mara nyingi itakuambia DEVICE EXPIRE.

Hapo ndipo utamtafuta fundi wako naye mara nyingi atakua anakukwepa na hata akikupa ushirikiano mara nyingi watakwambia badilisha sim card hata hivyo njia hiyo aiwezi kutatua tatizo mwisho wa siku watakwambia kuwa device imekufa na watakushawishi ununue nyingine.

ambayo baada ya miezi sita au mwaka tatizo lilelile linajirudia tena.

UFUMBUZI
I SECURE TECHNOLOGY ----
kampuni inayojishughulisha na ufungaji wa GPS TRACKER pamoja na mitambo mingine ya ulinzi imekuja na suluhisho
la tatizo lako.
---- Kama GPS TRACKER inakwambia DEVICE EXPIRE Usihofu wasiliana nasi kwa namba

0710141917
na 0731827638
Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa na malipo nafuu vitu vya kuzingatia tutumie aina ya GPS TRACKER
iliofungwa kwenye chombo chako cha moto, hakikisha kifaa chako kipo ON, Tutumie namba ya simcard
inayotumika kwenye simcard yako, vitu hivyo ni muhimu ili kujua kama GPS TRACKER yako inaingiliana na mifumo yetu
KUMBUKA KURECHARGE SIM CARD BADO LITABAKI KUWA JUKUMU LA MTEJA
tutakupa offer ya wiki 2 bure baada ya kufanikiwa kuunganisha mifumo yetu ili kukupa muda wa kufanya maamuzi jinsi ya
kulipia huduma hiyo

GHARAMA ZETU

GPS Tracker 150,000/-
Kufufua GPS tracker iliyo expire 50,000/-
Malipo kwa mwaka 20,000/= , tracking platform fee(Kwa mwaka wa kwanza hakuna haja ya kuliipia huduma hii)

TUNAPOKEA MAONI , USHAURI. TAFADHALI USISITE KUWASILIANA NASI

0710 141917
 
Maelezo Mazuri sana na ya muhimu. GPS ni nzuri ni ya kampuni gani au, he kuna size za aina ngapi, bora ni size au nchi
 
Back
Top Bottom