Pata huduma ya Taxi kwa bei ya UBER (Inayoelekeana na Bajaj)

Pata huduma ya Taxi kwa bei ya UBER (Inayoelekeana na Bajaj)

tomby

Senior Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
109
Reaction score
143
Wakuu nimeamua kuanzisha huduma ya Taxi kwa bei itakayoendana na UBER kwa kuangalia makadirio ya bei wanayoyatoa! Mfano kama unatokea Magomeni Kagera kwenda Coco Beach, itakugharimu 12,000/- tuu! Gari yangu ni Toyota Corolla yenye uwezo wa kubeba hadi watu wanne, na bei itakua ileile kwa idadi ya mtu mmoja hadi wanne, nipo Dar na niko tayari kumfuata mtu sehem yeyote (isipokua nje ya Dar). Unaweza kuni PM wakati wowote kwa mawasiliano zaidi au kwa ajili ya kufatwa ulipo! Malipo ni baada ya kufikishwa uendako!
 
Mabibo hostel to coco beach bei ganii mkuu...??
 
ukiiitwa na wateja 3 route tofauti mfano kwa pamoja utafanyaje, acha bange ongeza ongeza vikarina kama 5, na packing point tofauti
 
Back
Top Bottom