MWANAJAMIA
Member
- Oct 21, 2016
- 47
- 45
SOFTWARE INSTALLATION SERVICES
Natoa huduma zifuatazo
Windows installation. Zipo windows zote na zote zipo active.
Windows xp
Windows 7
Windows 8
Windows 10
Ubuntu Os.
Pia nafanya installation ya programs zingine kama vile Antvirus, Microsoft office, n.k
Huduma hizi ni kwa wakazi wa Dar es salaam nra pwani
Huduma zinausisha na gharama za usafiri kwa watakao kuwa wanakaa mbali hasa wakazi wa pwani, kwa wakaribu gharama za usafiri hakuna.
Napatikana Mbezi ya kimara.
Kwa mawasiliano nicheki kupitia
0659505081 call/sms/whatsapp
Karibuni sana