Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kizuri kula na wenzio!
Naomba pia kuchukua fursa hii, kuwapa kizuri hiki nilichokutana nacho.
Ni kujipatia internet ya karibu na bure, kwa kupitia simu yako ya mkononi.
Kwa kutumia simu za N.Series, kama wewe unatmia mtandao wa Zain, ondoa sim card yako ya Zain, nunua sim card ya Voda, itakudirect namna ya automatic set up ya internet na email zako utazipata instant kama kwenye blackbery, ikishajiset, chomoa hiyo sim card ya Voda, rudisha sim card yako ya Zain, utaona e-mails huzipati tena direct, nenda kwenye internet, ukiconnect, itakuuliza, connect through vodacom?, maana ndio iko confugured, wewe click yes, itaku connect straight kwenye 3G ya voda kutumia sim card yako ya Zain, stay as much as you need, then check balance, utakuwa surprised kukuta ni negligible!.
Enjoy freedom of information at most afordable rates!.
Angalizo:sijajaribu kwa kutumia simu nyingine, au kuitest mitandao mingine,pia imework for me, sijajaribu kwa wengine. Wataalumu wa teknolojia ya mitandao wataweza kutufafanulia zaidi, but its almost free ride!.
NB. Msiwaulize wenyewe, wasije wakablock uhuru huu, kama enzi zile za simu za vibandani za TTCL, unapiga wrong number, ukishajibiwa na answering machine, try another number, unatwanga trancall kwa local rates!, mijitu ikaanza kujazana, foleni ndefu mpaka wenyewe wakashituka, wakavifungilia mbali vibanda vyao!.