Pata Jiko La Bajeti Kubwa. Okoa Pesa kila siku

webroyalz

Senior Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
199
Reaction score
337
Pata jiko Janja uokoe gharama ya matumizi kwa hadi asilimia 80%.
-Tumia kuni moja tu kupikia.
-Tumia sodasti na mkaa.
-Halitobi Sufuria.
-Linatumia kigae kinachotunza joto kwa zaidi ya saa 4+.
Ukitumia hili jiko utasahau jiko la gesi, mafuta ya taa, sodasti au jiko la kuni la kawaida.

Kikundi kidogo cha wafanya biashara kimeweza kupunguza matumizi ya kuni kutoka shilingi 15,000/= kwa siku, hadi shilingi 3,000/= tu.

Bei ni 25,000/= hadi 35,000/= kulingana na ukubwa. Mikoani yanatumwa. Yanapatikana Usa River, Arusha.

0742002526
0627004343

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…