Pata kadi za kidigitali za Harusi/send-off/michango/biashara

Pata kadi za kidigitali za Harusi/send-off/michango/biashara

Brightburn

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2020
Posts
348
Reaction score
688
Habari zenu waheshimiwa! Tunatoa huduma mbali mbali za kidigitali ikiwemo kadi za mialiko kama vile za harusi, send off, michango, graduation, business cards, nk.

Achana na yale mambo ya kupanda dalala, usafiri wako, au kutuma boda boda kupeleka kadi umbali mrefu, tumia kadi za kidigitali kuokoa ghrama na muda pia.

Faida za kadi zetu za kidigitali ni kama ifuatavyo;
  1. Utaokoa muda na gharama ya kusambaza kadi kwa waalikwa.
  2. Kadi zitatumwa kwa WhatsApp na SMS za kawaida kwa jina la shughuli yako, mfano: HARUSI
  3. Hazihitaji internet ku-scan QR Code, hata kama huna internet utahakiki kadi za waalikwa vizuri.
  4. Tunakupa offline data sheet yenye ID Card na majina ya waalikwa, yaani hata ukiwa na kitochi (simu ya button) hizi kadi zinakufaa pia!
  5. Gharama ni nafuu (Tsh 800 - Tsh 1500) kulingana na idadi ya kadi.
  6. Ukishalipa gharama za kadi; Tunatuma kadi kwa WhatsApp na SMS yenye jina la HARUSI/SEND OFF/MICHANGO/MWALIKO/nk kwa waalikwa wote, na pia baada ya sherehe yako tunatuma SMS za asante kwa wote walioshiriki (hakuna gharama za ziada).
Tunawakaribisha sana kufanya kazi nasi, haijalishi unapatikana wapi hata kama ni nje ya Tanzania! Ndio maana zinaitwa kadi za kidigitali. Nakuwekea mfano wa kadi hapa, moja ina QR Code na nyingine haina QR Code ila ina namba ya kadi tu. Utofauti ni huu; yenye QR Code, namba ya kuhakiki kadi hii inakuwa imefichwa ndani ya hiyo QR code, kwahiyo utatakiwa ku-scan ndio uhakiki, ila kwa hii nyingine unaangalia namba ya kadi tu na unahakiki kwenye data sheet tuliiyokupatia kisha unapiga tiki (uhakiki mrahisi mno). Pia tunatengeneza delivery/thank you cards za duka, kampuni, huduma, nk nazo zinakuwa na QR Code ya biashara yako (nimeweka sample pia) karibuni sana.

Tunapatikana kwa WhatsApp, SMS, Call;
0769493334, D-Tecs Group. DSM


Jasmin Card (Card ID).png
Jasmin Card (QR Code).png
Neys Delivery Card (1).png
 
Back
Top Bottom