Pata kazi unayotaka kwa urahisi hapa

Pata kazi unayotaka kwa urahisi hapa

justdoit

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
63
Reaction score
4
Ni KAZImobile (Tanzania).

Sasa huna haja ya kununua magazeti au kwenda internet cafe' . Unatumia simu yako ya mkononi na unapata kazi unayotafuta popote ulipo na wakati wowote.

Mfano kama unahitaji nafasi za kazi ya Secretary unatuma KAZI SECRETARY kwenda 15522 na punde utaanza kupokea nafasi za kazi zilizokuwepo mpaka utapojitoa kwa kutuma KAZI OFF kwenda 15522.

Au kama hutaki kujiunga na unahitaji kazi papo hapo unatuma KAZI S SECRETARY kwenda 15522.

Kila nafasi ya kazi utachajiwa shilingi150/-

Kwa maelezo zaidi tembelea KAZImobile - | SMS Job Notification Service

Vigezo na Masharti vinazingatiwa.
 
Vigezo na masharti ni vipi

Aluu!! kula TANO SHY nimependa sana swali lako maana matangazo mengi sana nishaona VIGEZO NA MASHARTI kuzingatiwa bila kuweka vigezo na hayo masharti ......
 
Back
Top Bottom