INAUZWA Pata kiazi kizuri kwabei nafuu

INAUZWA Pata kiazi kizuri kwabei nafuu

Bossprota

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
336
Reaction score
373
#MYMBARALI_NOTES_BOARD
PATA KIAZI AINA YA TIGO
ZIPO GUNIA ZAID YAMIATANO HATA UKITAKA ZAIDI YA APO
BEI 18,000/=@GUNIA
ENEO: INTOKYELA-TUKUYU-MBEYA
CALL: 0763770207
 
Attachments

  • FB_IMG_15708158062948485.jpg
    FB_IMG_15708158062948485.jpg
    21 KB · Views: 5
#MYMBARALI_NOTES_BOARD
PATA KIAZI AINA YA TIGO
ZIPO GUNIA ZAID YAMIATANO HATA UKITAKA ZAIDI YA APO
BEI 18,000/=@GUNIA
ENEO: INTOKYELA-TUKUYU-MBEYA
CALL: 0763770207
18000 gunia
 
Nimefika Hayo Maeneo Viazi Ni Vingi Sana Lakini Pia Mazao Mengine Kama Ndizi, Njegere, Nyanya, Karoti, Parachichi, Vitunguuu Na Mazao Mengine Mazuri
Wanauza Bei Nafuu Sana, Mchana Unaweza Usione Mbele Kwa Ukungu Na Mvua Za Mara Kwa Mara
 
#MYMBARALI_NOTES_BOARD
PATA KIAZI AINA YA TIGO
ZIPO GUNIA ZAID YAMIATANO HATA UKITAKA ZAIDI YA APO
BEI 18,000/=@GUNIA
ENEO: INTOKYELA-TUKUYU-MBEYA
CALL: 0763770207
Gunia za kilo ngapi?

Pia ikiwa nataka zisafirishwe mpaka Dodoma inawezekana na shillingi ngapi?
 
Vingine vya kutosha vinapatikana Kilolo Iringa maeneo ya DABAGA aina ya OBAMA,bei ni elfu 20,000 kwa mfuko wa debe 6 ambao nimesikia leo kwa Dar inarange kati ya 58,000 - 68,000. Mchanganuo wa usafiri ni gharama nyinginezo ni kama ifuatavyo:-
Mfano.FUSO inabeba vipeto 120,gharama yake hadi Dar ni Tsh.1.2M hapo wastani kila mfuko ni Elfu 10,Ushuru kila mfuko ni 1000,upakiaji 500,ushonaji 500.
JUMLA kila mfuko mpaka sokoni utakuwa umegharimu 32,000.
Wenye mitaji fursa hiyo.
 
Vile tu pesa sina aiseee...!! Biashara nzuri sanaa
 
Kabisa rikiboy tatizo mitaji,mm mwenyewe nipo tu huku shambani nikishuhudia wafanyabiashara wanavyolemea na mzigo kwamba mzigo upo wa kutosha ila uwezo wao ni mdogo.
 
.

Dar gunia la viaz lenye ujazo wa debe 6 au 7 ni bei gan
Huwa nashangaa kwa nini biashara zetu ni za ujanja ujanja kilka mara. Kwa nini viazi visipimwe kwa kilo badala yake vinapimwa kwa ujazo? Jibi ni moja tu: Ili kuwe na loopholes za kudanganganya.
 
Back
Top Bottom