Pata kipato had mil. 5 bila kuathiri kaz zako

Hivi hawa wanaolalamika hakuna ajira hizi fursa za bure bure kabisa ina maana hawazioni au kuna masharti zaidi ya hicho kipato cha mwezi?
 
Hivi hawa wanaolalamika hakuna ajira hizi fursa za bure bure kabisa ina maana hawazioni au kuna masharti zaidi ya hicho kipato cha mwezi?
Acha ulevi wako unafikiri watu wana fanya kazi moja jpm lazima tumwandame vijana wamesoma awape kazi ni moja ya ahadi zake acha kunywa msabe asubuhi
 
Acha ulevi wako unafikiri watu wana fanya kazi moja jpm lazima tumwandame vijana wamesoma awape kazi ni moja ya ahadi zake acha kunywa msabe asubuhi
Hongera kwa kazi 10
 
wana wa nchi waliopata ujuzi ni lazima hata kama sio wote wachache wapate kazi kuchuna ni kuwakosea adabu watanzania na heshima
Yaani wewe kama una uwezo wa kuingiza M5 kwa mwezi kwa nini uhangaike na ajira ya laki 8 huku unafanya kazi kwa stress kibao. Kwa nini hiyo M5 unayopata usiwekezee kwenye miradi mingine na wewe ukawa ndio msimamizi mkuu. I wish kama kila mtz apate fursa ya kuingiza M2 tu kwa mwezi sidhani kama hata hizi kelele za ajira tungezisikia.
 
hili la mkulu unasemaje kugoma kuajiri huku anasingizia wafanyakazi hewa kwa mawazo yako tukiacha tangazo hili mana lazima ujue walioko humu ni wachache sana
 
hili la mkulu unasemaje kugoma kuajiri huku anasingizia wafanyakazi hewa kwa mawazo yako tukiacha tangazo hili mana lazima ujue walioko humu ni wachache sana
Ndio maana nikasema kama kuna fursa kama hii kwa nini watu wasichangamikie? Kumbuka kwamba ajira ni zote either ni private au government or kujiajiri. Hata serikali ikiajiri haiwezi kumaliza tatizo lote la ajira. Ndio maana somo la ujasiriamali limeshika hatamu. Nadhani utakua umenipata mkuu wangu
 
nimekuelewa mda tu nilitaka uniambia jpm anafanya vyema kugoma kuajiri?
 
nimekuelewa mda tu nilitaka uniambia jpm anafanya vyema kugoma kuajiri?
Kwa nini usubiri ajira ya JPM ilhali kuna M5 ambayo inakuja tu? Hivi ingekua ni rahisi hivyo hata watu wangepiga kelele kwamba JPM haajiri? Ama Agata kunotice kwamba kuna tatizo la ajira? Nadhani kila mtu angekua busy sana
 
nashukuru umenielewa watu wengine tunafanya kazi zetu wala sio mimi ninayatafuta kazi labda nimwajiri mtu ila mkulu anafanya vibaya hamna haja kumtetea kwa hili kwa kuwa kazi mojawapo ni kuajiri wana nchi hata kama ni wachache sio kuchuna vijan wan ahsira sana mshaurini kam mko karibuni naye
 
Mkuu mimi sikumtetea na naamini kabisa watu wamesoma na wanasubiri ajira. Kila mtu analiona hili, hivyo basi tuvute subira kama alivyoahidi. Kwani siku zinaganda mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…