Pata kitabu chochote cha kingereza kilichotafsiriwa kwa kiswahili

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,641
Reaction score
4,457
Najua watanzania wengi mnapenda sana kusoma vitabu . Shida iliyopo kubwa watanzania wengi lugha ya kingereza inatupa shida.

Sasa hiyo shida imekwisha kama utafanikiwa kuona huu uzi leo kwasababu ata ukiwa unajua lugha ya kiswahili tu utasoma kitabu chochote unachotaka kwa lugha ya kiswahili na kwa garama ndogo tu.

 
Mkuu ni kwa hardcopy au kwa soft copy ni bei gani mkuu
 
Bei ni kubwa sana. Soft copy fanya 5000 hard copy 10000.
 
Mnaotafsiri hivyo vitabu mko vizuri au wale jamaa zangu wanaosema"nyimbo yangu" "hichi kitabu" matumizi ya R na L ni shida.
Tuwekee sample ya kitabu ulichotafsiri tuone umahiri wenu.
Ila niwapongeze kwa kuibuka na wazo hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…