Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,468 Reaction score 2,767 Sep 5, 2023 #1 Zama za kuanzisha biashara na kukaa kusubiria wateja waje, zimepitwa na wakati. Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa sana na una hatarisha biashara nyingi zinazomilikiwa na watu ambao siyo wabunifu hasa katika kutafuta masoko. Nimekuandalia E-Book ambayo itakuonyesha mbinu 4 bora za Kutangaza biashara yako mtandaoni na kupata wateja kwa gharama ndogo. E-Book hii ni BURE na hautatozwa pesa yoyote kuipata. Tuma ujumbe WhatsApp "MBINU 4" na utatumiwa kitabu chako hapo hapo. WhatsApp +255 752026992.
Zama za kuanzisha biashara na kukaa kusubiria wateja waje, zimepitwa na wakati. Ushindani katika biashara umekuwa mkubwa sana na una hatarisha biashara nyingi zinazomilikiwa na watu ambao siyo wabunifu hasa katika kutafuta masoko. Nimekuandalia E-Book ambayo itakuonyesha mbinu 4 bora za Kutangaza biashara yako mtandaoni na kupata wateja kwa gharama ndogo. E-Book hii ni BURE na hautatozwa pesa yoyote kuipata. Tuma ujumbe WhatsApp "MBINU 4" na utatumiwa kitabu chako hapo hapo. WhatsApp +255 752026992.
Mr. Purpose JF-Expert Member Joined Nov 12, 2016 Posts 1,468 Reaction score 2,767 Sep 5, 2023 Thread starter #2 Unaweza download E-Book hii moja kwa moja hapa. View attachment MBINU 4 ZA KUWAFIKIA WATEJA MTANDAONI.pdf
Unaweza download E-Book hii moja kwa moja hapa. View attachment MBINU 4 ZA KUWAFIKIA WATEJA MTANDAONI.pdf
Dr leader JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 893 Reaction score 1,021 Sep 5, 2023 #3 Hii ni moja wapo mashallah