Pata Kitanda,Viti vya Plastic,Meza na Kiti cha Ofisi

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Kitanda na godoro 5*6 na mto Tshs 300,000
Viti vya plastic 8@ 50,000
Meza mbili za ofisi @130,000
Viti viwili executive @250,000
Kama unaitaji ni PM
 
Kama huna pesa usije PM kunisumbua
 
Tulifundishwa shule kuwa alama hii "@" inamaanisha kila moja. Ndivyo ulivyokusudia?
 
Mimi nikajua kumeanza production ya vitanda vya plastic.
anyway umenipa idea ngoja niende simba plastic nikauze wazo.
 
Muuzaji angalia alama za nyakati. unauza viti vya plastic @ 50,000 bei ya mtaani vipya @ 12,000 sasa wewe hivyo vimeshatumika lakini bei yake inatisha! au typing error inawezekana ulimaanisha @ 5000??????
 
Last price is 40,000 no more no less
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…