Pata Kitanda,Viti vya Plastic,Meza na Kiti cha Ofisi

Meza bado zipo? last price ya hizo meza ni ipi?
 
hcho kitanda labda uuze elf50
Evz Ukweli ni kwamba kama hicho kitanda kimetengenezwa na mbao ya MNINGA au MKONGO bei hiyo alioiweka ni sahihi.Bei ya Mbao ngumu sasa ipo juu sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…