oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Sasa mkuu marogoro na vikindu mbona ni sehemu mbili tofauti kabisa?!!kwani kutoka vikindu hadi marogoro ni mbali sanaTunauza viwanja vilivyopimwa Vikindu kwa bei rahisi.
Eneo: Marogoro, ukubwa futi 60*60 bei 900000.
Eneo: Magodani ukubwa futi 60*60 bei 1300000
Usafiri tunatoa bure hadi kwenye viwanja kwenda kuviona.
Kwa mawasiliano piga 0688568152.
Asante.
Hiyo ni ramani ya kuelekea kwa mtu asiye pajua wala kupasikiaSasa mkuu marogoro na vikindu mbona ni sehemu mbili tofauti kabisa?!!kwani kutoka vikindu hadi marogoro ni mbali sana
Watakwambia unga 3/660*60 Feet = 334 sqm
900,000÷ 334=2694 per SQM
Mnapima viwanja vidogo Sana Huko ni Nje ya mji at least vingeanzia 700 SQM.