pata kiwanja,shamba kwa bei nafuu maeneo ya wilaya ya mkuranga

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
184
Reaction score
24
OK ndugu zangu ni yule yule Dalali wako was ukweli,salsa nakutangazia we we ndugu yangu mpendwa kwamba kuna viwanja na mashamba mazuri katika wilaya ya mkuranga iliyopo karibu sana na jiji la dar es salaam,pata eneo Zuri kwa bei nafuu sana,maeneo kwa ajili ya ujenzi wa,shule,Sheri za mafuta,viwanda vikubwa na vidogo,hotel,hostel,nyumba za wageni,mashamba na sehemu za kuhifadhi mifugo,wahi sasa wasiliana nami kwa namba 0719450426,email.jonathankamwavahs@gmail.com au ukurasa wa Facebook Jonathan Lucas kamwavahs.kwa wale wa whatsapp tumia namba 0719450426 karibu sana tujenge mkuranga.
 
Last edited by a moderator:
mkuu jumamosi ijayo nkienda rufiji ikwiriri ntapitia hapo ntskutwangia sim.....
 
Ekari 4 unauza sh ngapi? Zilizo tambalale na barabara ya kufika shamba.
 
Umbali gani kutoka njia kuu?juzi nilikuwa huko kuangalia kiwanja.
 
Karibuni ndugu zangu,piga simu muda wowote bila shida,ili upate huduma au kuuliza seal I.
 
viwanja vimepimwa tyr?na km bado hiyo million moja na nusu ni inclusive na kupimiwa na surveyor na kuwekewa mawe?
 
viwanja vimepimwa tyr?na km bado hiyo million moja na nusu ni inclusive na kupimiwa na surveyor na kuwekewa mawe?

Hapana vipo ambavyo havijapimwa na vilivyopimwa tayari ila vingi Havijapimwa na kwabei hiyo kupimiwa na kuwekewa mawe ni juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…