Pata kuku wa kienyeji kwa kitoweo safi cha siku kuuu za x-mass na mwaka mpya

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Wapendwa bandugu na bajamaa habari za majukumu...!

Kwa furaha na upendo karibuni sana tusherekee kwa kujipatia kuku bora kabisa wa kienyeji kwa ajili ya kitoweo cha sikuu za x-mass na mwaka mpya wa 2014, wapo aina zote majogoo na matetea lakini pia kwa mfugaji pia asisite kufika maana wanafaa kwa kula na kufuga pia, wapo kwenye hali nzuri kabisa

bei zao


  • jogoo ni kati ya sh.17oo0-14000/=

  • matetea ni kati ya sh.13000-10000/=
mpaka sasa wapo kuku 80 kutoka kuku 165 wana bei tofauti kulingana na ukubwa wa kuku wapo wenye kati ya uzito wa kilo 3 hadi kilo 2.
mawasiliano

nipo kimara kona barabara ya chuo kikuu kupitia msewe , unaweza kushuka kona nitakupokea kituoni
simu:

angalia picha, karibuni tusherekee wote

View attachment 127661
 

Attachments

  • DSC00608.JPG
    42.5 KB · Views: 87
  • DSC00632.JPG
    51.8 KB · Views: 110
  • DSC00636.JPG
    43 KB · Views: 92
  • DSC00634.JPG
    44.7 KB · Views: 96
  • DSC00600.JPG
    44.8 KB · Views: 87
wanasoma tu; nilikuwa nataka nami niweke tangazo hapa lakini naona majibu ni hafifu, bora niendelee na matangazo kwa kutumia sim za watu ninaofahamiana nao; majibu tayari yanaonesha ni njia nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…