ICT OFFICER
JF-Expert Member
- Oct 6, 2018
- 235
- 300
Kumbe mtaalamu kwenye masuala ya kuza Papa, ongera sana mkuu...... watu wamenielewa and wamekuja PM & tumefanya biasharaUnatangaza biashara kishamba sana, hata wanaojiuza wanatangaza kwa kuvaa nusu uchi lengo likiwa ni kuona kile anachonadi.
Kwani ulitegemea PM watakuja Nyuki? Jifunze kuandika tangazo lisiloacha maswali.Kumbe mtaalamu kwenye masuala ya kuza Papa, ongera sana mkuu...... watu wamenielewa and wamekuja PM & tumefanya biashara
Kama kitu hujaelewa wewe uliza, acha kugeneralize kuonyesha kuwa watu wote chief.....Kwani ulitegemea PM watakuja Nyuki? Jifunze kuandika tangazo lisiloacha maswali.