Pata maarifa hapa ya dunia na mamilion ya sayari zingine katika picha

Pata maarifa hapa ya dunia na mamilion ya sayari zingine katika picha

Njaa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2009
Posts
1,022
Reaction score
412
Wakuu, humu JF nilikuwa napata story kuhusu sayari na nyota (solar system). Ilikuwa ngumu kuelewa kuwa jua letu ni mojawapo kati ya mamilion ya nyota (majua) na dunia yetu ni mojawapo ya mabilioni ya sayari (planets).

Kwa kuangalia picha hizi nimepata uelewa mkubwa sana tena kwa urahisi sana. Elimu haina mwisho aisee

Click hii link jielimishe huku ukifurahi, anzia picha picha ya kwanza hadi ya 26 kuelewa the story

click hapa

enhanced-13455-1416254783-31.jpg
enhanced-11837-1416249348-7.jpg
enhanced-buzz-14360-1415979952-15.jpg
enhanced-buzz-30669-1415981990-30.jpg
 
Hilo jiwe kubwa sio lile walilolisema kua linakuja kuingamiza dunia mwezi ujao?
 
Mods kaniharibia uzi wangu..., kaweka picha 4 kati ya 28 na maelezo yake. Hawa mods bwana..

click hapa
 
Hilo jiwe kubwa sio lile walilolisema kua linakuja kuingamiza dunia mwezi ujao?

Hapana hicho ni kile kimondo ambacho probe imetua mwezi huu, kipo baada ya Mars, ila kuna wakati kinakuwa baada ya dunia, orbit yake imekaa kiana. Link imewekwa sasa
 
Je! Hawaangalii mbingu zilizo juu yao! Vipi tulivyo zijenga, na tukazipamba. Wala hazina nyufa. (6) Na ardhi tumeitandaza na tukaiwekea milima, na tukaiotesha mimea mizuri ya kila namna. (7) Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea. (8) ##SURAT QAF

Na mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua. (47) Na ardhi tumeitandaza; basi watandazaji wazuri namna gani Sisi! (48) Na katika kila kitu tumeumba kwa jozi ili mzingatie. (49)
##SURAT ADHARIYAT

Je! Ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliye ijenga! (27) Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri. (28) Na akautia giza usiku wake, na akautokeza mchana wake. (29) Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi. (30)
## SURAT ANAAZIAT
 
Back
Top Bottom