Pata machapisho (hard copies) kwa ajili ya ujasiriamali

Pata machapisho (hard copies) kwa ajili ya ujasiriamali

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Waungwana habari za siku tele!
Nawaleteeni habari njema ili tuweze kuwasaidia wale ambao hawana access ya kuingia hapa nao waweze kupata machapisho ya kujisomea waweze kwenda nasi kwenye mambo ya ujasiriamali.

Yapo machapisho ambayo yameandaliwa kwa lugha nyepesi ili kuwawezesha wasomaji wweze kujikita kwenye shughuli binafsi. Machapisho hayo yameandaliwa na Taasisi inayoitwa J & B Enterprises iliyoko jijini Mwanza. Kwa wale watakaoyahitaji ili wawe wasambazaji kwenye mitaa yao wanaweze kuwasiliana nami kwa simu Na. +255 655 533 543.

Machapicho hayo yako na title zifuatazo:-

Kanuni za Kutengeneza bidhaa muhimu

Namna ya kutunza fedha kwa ajili ya Ujasiriamali.

Nina uhakika msomaji atayefuatilia machapisho hayo hatua kwa hatua hataendelea kuwa tegemezi kwenye kipato.
 
Bei, jumla, rejareja, ukubwa wa machapisho, weka japo utangulizi na yaliyomo kwenye hayo machapisho picha ya jalada usisahau tafadhali.
 
Bei, jumla, rejareja, ukubwa wa machapisho, weka japo utangulizi na yaliyomo kwenye hayo machapisho picha ya jalada usisahau tafadhali.

Nipe e-mail yako tuwasiliane kibiashara zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom