Pata madirisha aluminium na milango

plumber hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2022
Posts
881
Reaction score
1,537
Ofa pata madirisha na milango ya Aluminium kwa bei zifuatazo

Dirisha la futi 5x5 ni 260,000
Dirisha la futi 5x6 ni 270,000
Dirisha la futi 6x6 ni 280,000
Dirisha la futi 6x7 ni 300,000
Dirisha la futi 7x7 ni 330,000
Dirisha la futi 3×4 ni180,000
Dirisha la futi 4×4 ni 220,000
Dirisha la futi 5×7 ni 280,000
Dirisha la futi 8×7 ni 370,000
Dirisha la futi 8×8 ni 400,000
Mlango wa alcobond 320,000
Mlango wa kioo 280,000
Mlango wa pvc 250,000

Ofsi zetu zipo Dar es salaam Temeke pile call/Whatsaap 0785707660/0626329905
Gharama hizi nipamoja na usafiri na kifitisha hii ni kwa wakazi wa Dar es salaam tu na mkoa wa Pwani...View attachment 2720233View attachment 2720234View attachment 2720235
 
Ina maana Kwa dirisha la 5*6 Kwa mfano, nikishalipia hiyo Hela ndo inajumuisha Kila kitu mpk zile nyavu ? I mean vipande vitatu vyote vya dirisha , kazi yangu ni kufunga na kufungua tu ?
 
Ina maana Kwa dirisha la 5*6 Kwa mfano, nikishalipia hiyo Hela ndo inajumuisha Kila kitu mpk zile nyavu ? I mean vipande vitatu vyote vya dirisha , kazi yangu ni kufunga na kufungua tu ?
Ndio mkuu
 
10'x7' na 10'x6 ni bei gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…