Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Ni mafuta safi kabisa yanayozaliswa na kiwanda cha QSTEK FARMING LTD kilichoko mjini manyoni mkoani singida.
Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kutumia mbegu halisi za alizeti zinazozalishwa hapa hapa Tanzania.
Mafuta ya best choice hayajaongezwa kemikali yoyote hivyo ni salama kwa afya yako.
Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kufuata standards zote za kitaifa na kimataifa.
Mafuta ya best choice yanapatikana katika ujazo tofauti kama vile 1L,3L 5L 10L na 20L
Mafuta ya best choice yanapatikana kwa mawakala waliopo kila kona ya nchi yetu.
Bei ya mafuta ya best choice ni
90,000/= kwa carton ya chupa za lita moja,135,000/= kwa carton ya chupa za lita 3 na 150,000/= kwa carton ya chupa za lita 5.
Karibu best choice tukuhudumie.
Tunafanya delivery popote ndani ya Tanzania kulingana na ukubwa wa mzigo.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie kwenye number hizo hapo chini au 0734079737

Screenshot_20220514-181958_Instagram.jpg


Screenshot_20220514-181953_Instagram.jpg


Screenshot_20220514-182051_Instagram.jpg
 
Mafuta yenu ni mazuri kwa kweli,msije mkaanza michezo ya kuchakachua tu kama wenzenu wakina sunola.
 
Nimeyaona shoppers,nilijua yanatoka nje ya nchi,kumbe ni hapo singidani.hongereni,yanaonekana ni mafuta mazuri sana.
 
Awamu hii watengenezaji wa mafuta mshindwe kutajirika tu
 
Nakuja kiwandani kuona shughuli zenu ndio ninunue
 
Back
Top Bottom