Ok!Na hati utapata baada ya kumaliziaNatanguliza 5mil zingine tutalipana tutaandikishana lkn zaidi miezi 6 kumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuu iringa kuna wilaya ya kilomberoLipo wilaya ya kilombero bei nimeshataja hapo
enh Natemo... Kilombero ni Morogoro au Majina yapo mikoa yote Moro na Iringa?Lipo wilaya ya kilombero bei nimeshataja hapo
boss unatufanya tuhisi this is a scam, kilombero na iringa wap na wap??Lipo wilaya ya kilombero bei nimeshataja hapo