Pata mashati na suruali yaliyodariziwa kwa bei poa

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
Siku hizi haya mashati na suruali zimekuwa ni fashion kwa kina baba na vijana hasa kwenye send off bag part na shughuli nyinginezo za kiheshima.....napatikana sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT..unapimwa na kupata size yako kwa muda wa siku moja tuu na zipo za rangi tofauti tofauti...pia tunapokea oder za watu wengi na bei ya jumla
Mawasiliano
0714812375
0713555729
Tutakufuata popote ulipo ndani ya dar es salaam kwa huduma
 
Unashonewa na kudariziwa kwa bei nafuu sana na unapata shati au suruali kwa size yako na kwa muda wa siku moja tuu....Nguo hizi zimekuwa maarufu sana kwa shughuli za send off kitchen part bag part na shughuli zote za kiheshima....napatikana sinza kumekucha karibu na kanisa la kkkt...napokea order na kwa bei ya jumla pia tunafanya...
Mawasiliano
0714812375
0713555729
 
ungeweka sample ya kazi zako halisi kaka.
haya shati kama hili mnashona kwa bei gani:
 
nimependa ila siyo kwa send off wala harusi nilishapita hatua hiyo, ninatafuta kwaajili ya kutokea masaa fulani!!!! nitakucheki!
 
tangazo lako halijakamilika, weka bei kwa kila shati moja, ili tukipiga simu tuchague rangi, si tena kuanza kuulizana bei.
 
weka bei elekezi ndugu..ili watu wajipime ubavu kabla ya kuanza kumaliziana credits kwenye simu
 
Bei ya shati inatofautiana kutokana na complecated yake na ua ulilochagua.....bei ina anzia 30000mpaka 40000
 
ungeweka sample ya kazi zako halisi kaka.
haya shati kama hili mnashona kwa bei gani:
View attachment 188251

Hizi nguo ninazishona na sii za kununua dukani...ndio nguo na product halisi toka kwangu.....kama unataka nguo njoo sinza kijiweni au kumekucha...tupo katikati ya kijiweni na kumekucha mtaa wa pili toka kituoni kumekucha kuelekea kijiweni
 
nimekuelewa mkuu, hata hiyo niliyoweka hapo juu ni ya kushona nje ya kiwanda hapahapa mjini siyo imported, ni kazi ya Ngowi, unapotupiatupia picha ndiyo mtu anavutika kaka, tutawatembelea tuone products, muwe na vitambaa vyenye akili tu maana kwa bei hizo napatwa na mashaka na ubora wa kitambaa!
 
Hizi nguo ninazishona na sii za kununua dukani...ndio nguo na product halisi toka kwangu.....kama unataka nguo njoo sinza kijiweni au kumekucha...tupo katikati ya kijiweni na kumekucha mtaa wa pili toka kituoni kumekucha kuelekea kijiweni
Jina la duka lako,kwani hapo kuna maduka mengina madalali wa nyumba kibao,tupia na jina lahiyo tailoring mart yako kuepusha usumbufu wa madalali ambao wakimuona mtu maeneo hayo hudhani anatafuta nyumba
 
mkuu hili sio duka ni KAMPUNI KUBWA INA NYUMBA NZIMA NA HATUNA BANGO LOLOTE ni simu tuuu unapiga na kuelekezwa tulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…