INAUZWA PATA MASHINE ZA KUPUKUCHUA

nk 47

Member
Joined
May 2, 2014
Posts
21
Reaction score
10
Ofa ofa Ofa ofa Ofa ofa
Ngomemachine wanakuletea toleo jipya la mashine
ya kupukuchua mahindi kwa jina inaitwa kungula
Inapukuchua mahindi
Tani 2.5 ndani ya saa moja. hivyo ukipukuchua kwa
masaa 10 kwa mfano, utakuwa umepukuchua tani
25( kg 25000) ambazo ni gunia 250 za kg100.
Inatumia mafuta ya petroli lita moja upukuchua
gunia 15-18 itategemea na kasi ya ujazaji wa
mahindi bei ya kupukuchua mahindi gunia moja ni
Tsh 1200-2000 inatofautiana kutokana na maeneo
Bei ya mashine ni Tsh 940000 pamoja na usafiri
kwa mikoa yote ya kanda ya kaskazini
Tupo Arusha kwa Wakereketwa unga ltd industrial
area
Karibu sana
Mawasiliano
0716508073
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…