amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.
Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.
: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila unayemtehemea atakusaidia ( wengi wanajali issue za kuuingiza pesa sio utu)
: Uliye mdharau anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko uliokuwa unawategeme.
: True love from Ex tuliyeachana kwa Mimi kumtukana sana na kumdharau kupita kiasi.
: Dharau kwa uliyetegemea akufariji hadi kumuacha Ex
: Kwenye msiba ndugu ni mzigo kuliko msaada. Wengi wanakuja kula, kuomba msaada sio msiba
: Msaada mkubwa kwa usiye mdhania au kumfikiria.
: Baaddhi ya mjirani kujifungia ndani kana kwamba hawaji kufiwa
: Wengi tuliowategemea ni marafiki wa baba ni wachonganishi wakubwa na wanafiki nia mgombane wafaidi.
Mambo ni Mengi sana ikiwepo ndugu kuomba kizinga cha hela ya bia wakati majonzi yametawala😂😂😂.
Amini Dunia ina Mengi, kuwa uyaone.