Pata Matokeo ya kidato cha NNE BURE kwenye simu yako

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Katika Pita pita zangu na kupekua nimekutana na hii kitu imenivutia sana na nimetest iko vizuri,kazi nzuri vijana tutafika tu;

Namna ya kupata matokeo katika simu ya mkononi bure bila kulipia gharama zozote


  1. Ingia sehemu ya kuandika ujumbe mfupi katika simu yako
  2. Andika INFO F4 (NAMBA YA MTIHANI) mfano; INFO F4 S0321/0001
  3. Tuma ujumbe huo kwenda namba 0653189202
  4. Utapokea ujumbe unaoonesha matokeo ya kidato cha nne ya 2014
Pia unaweza kumtumia rafiki yako kama ana namba ya simu inayotumika na imesajiliwa;

  1. Ingia sehemu ya kuandika ujumbe mfupi katika simu yako
  2. Andika TO (NAMBA YA SIMU YA MTU UNAEMTUMIA ) INFO F4 (NAMBA YA MTIHANI) mfano; TO 0713068811 INFO F4 S0321/0001
  3. Tuma ujumbe huo kwenda namba 0653189202
  4. Atapokea ujumbe unaoonesha matokeo ya kidato cha nne ya 2014
Hii ni ‘project’ inayofanywa na kampuni ya Katsons kwa lengo la kuwezesha kutoa taarifa kupitia simu yako pale utakapozihitaji kwa gharama nafuu ama bure bila malipo ya aina yeyote.
Kama umevutiwa na kufurahia huduma hii unaweza kusaidia kuendelezwa kwa ‘project’ hii kwa kufanya yafuatayo;
Toa Maoni yako;

  1. Ingia sehemu ya kuandika ujumbe mfupi katika simu yako
  2. Andika CHAT Swali/Pendekezo/Mtazamo
  3. Tuma ujumbe huo kwenda namba 0653189202
Support kwa kuchangia;
Unaweza kuchangia chochote kupitia namba zifuatazo;
0653189202 au 0767438451 au 0684327902
Endelea kufurahia huduma hii bila kikomo



SOURCE: Pata Matokeo ya kidato cha NNE BURE kwenye simu yako | Innovation with no Limits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…