Brightburn
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 348
- 688
Good day waheshimiwa! Mimi ni designer mzuri sana, naweza chora idea yako vizuri kabisa kwa maelezo machache tu kutoka kwako. Ila leo niko hapa kwa huduma ya UI design kwa wale watu wenye mawazo mazuri ya faida, kama unahitaji mtu wa kukuchorea idea yako uone itakavyokuwa ikiwa utaiunda nipo hapa! Nimefanya kazi nyingi sana za wateja wa ndani na nje ya TZ, kazi za mobile applications, static websites, na softwares.
Hatua zipo hivi;
Gharama za kuchora wazo lako huanzia Tsh 250,000 na inaweza fika hadi Tsh 2,000,000. Inategemea na mradi, mfano; Wewe unaweza niambia nikuchoree app ya mawakala wa mitandao ya simu waweze kumanage miamala yao hata wakiwa mbali na biashara zao, ili kila muamala unaofanyika wapokee taarifa na kuepusha wizi ofisini. Lakini anaweza kuja mwingine akaniambia nimchoree app ya kufanya miamala ya simu na yenye vitu kama kulipa bili, kuwekeza, kumbu kumbu za miamala + malipo, masuala ya bima, na mambo mengine kibao... ni dhahiri kuchora app hii ya pili haitokuwa kazi rahisi sababu ina vitu vingi na mimi kama mchoraji ni lazima nimuonyeshe developer kila kitu kinachotakiwa kuwa developed kwenye hiyo app na kitoke kama nilivyochora! Kwahiyo cost ni tofauti kutokana na wazo/kazi ilivyo.
Kwa anayehitaji anitafute, tafadhali msiogope! Mimi ni mtu poa sana, wasiliana nami tutafanya kazi vizuri na nina hakika hatutashindwana. Unaweza kuta wazo lako ni kubwa sana ila unalichukulia la kawaida kwasababu hujaona michoro yake na documents za kuelezea michor hiyo. Nafanya kazi ya mtu yeyote bila kujali eneo/mkoa/nchi aliyopo. Karibuni sana 🙂
Call/WhatsApp;
0692987122
Hatua zipo hivi;
- Unawasiliana nami then tunadiscuss wazo lako
- Unaweza nitumia document yenye maandishi au ukanieleza mi nikaandika (kuna gharama kidogo)
- Nakupa cost kulingana na uzito wa kazi au idadi ya pages/sections/categories ninazotakiwa kudesign
- BAADA YA MALIPO, au at least 60% naanza kufanya kazi yako, within 24 hours nitaanza kushare sample na wewe
- Nakutumia michoro kwa PDF, michoro ambayo kazi iliyobaki ni kumpatia developer au programmer yeye aisuke tu
- Pia ukitaka upate design zako kwa Figma ili utetst baadhi ya vitu kabisa inawezekana (ila cost yake sio mchezo)