Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu Chama Cha CHADEMA Kimeendelea kujiimarisha katika kila idara.Hivi Karibuni CHADEMA imezindua ring tones na caller tunes kwaajili ya kuhamasisha Watu mablimbali kuiunga mkono CHADEMA na pia kuendeleza harakati za Kina Dr Slaa kukemea uovu na vitendo vya kifisadi unaoendelea hapa nchini. Kwa wale watakaopenda kupata nyimbo hizo,njia ni rahisi sana.Fuata maelekezo yafuatayo;
Kwanza kabisa tumetoa nyimbo tau kwa kuanzia.
Nyimbo na 1.Yenye namba 12608 inaitwa CHADEMA Mwendo Mdundo.ni nyimbo nzuri sana
Nyimbo na 2.Yenya Namba 12609 inaitwa Operesheni Sangara-Hii Nyimbo ilizinduliwa wakati Operesheni Sangara inaanza na inaelezea dhana ya Operesheni Sangara,ni nyimbo nzuri pia.
Nyimbo na 3. Yenye namba 12610 inaitwa Tuimwage CCM.Nyimbo hii inaelezea jinsi gani CCM imeshindwa kutimiza hadi yake ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania.Nyimbo hii pia ni nzuri vile vile.
Kwahiyo kama unataka moja ya nyimbo hizi au zote.Fanya yafuatayo;
1. Ingia kwenye sehemu ya kuandikia ujumbe mfupi kwenye simu yako
2. Andika namba ya wimbo unaoutaka
3.Tuma kwenda namba 15007 au 15050
4.Baada ya hapo utapokea majibu ya kukubaliwa ombi lako
Kumbuka Kila wimbo ni sh 300.
Wish You all the Best.