sekion27
Member
- Jul 25, 2021
- 56
- 37
Ni mitambo bora na yenye ueledi kwa hali ya juu na utapewa offer ya mwezi mzima ukichukua bidhaa yetu kwa mkopoView attachment 2687565View attachment 2687566
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangazo umelipia? Kama umelipia nahitaji [emoji1787]Ni mitambo Bora na yenye ueledi kwa Hali ya juu na utapewa offer ya mwezi mzima ukichukua bizaa yetu kwa mkopoView attachment 2687565View attachment 2687566View attachment 2687567
Watasema una chuki, ila ni ukweli kidogo,kuna mtambo jamaa qlichukua ulikufa after miaka 2 ,ukiwasha saa saa moja usiku mpaka saa tatu charge imeisha wakati mchana kulikuwa na jua na hukutumiaHiyo ni Kampuni ya Majambazi na MATAPELI wakubwa,nilifanya kazi kama Area Manager kwa miaka 6 ninawafahamu nje ndani,mnauza na kukopesha Sola mbovu tena kwa Bei kubwa,Wana JF msidanganyike na misola ya Mysol zamani walikuwa wanaitwa Mobisol,ni Kampuni ya Majambazi na MATAPELI wakubwa,iogopeni kama mnavyouogopa UKIMWI
Naifahamu sana hii Kampuni ni ya MAJAMBAZI,mimi mwenyewe nilinusurika zaidi ya mara 10 kuuawa na wateja vijijini baada ya kuwauzia Sola kumbe mbovu,ni Majambazi kwelikweli,kipindi naondoka ilikuwa inaongozwa na Jambazi moja la Kenya linaitwa Godfrey Mugambi,ni MAJIZI haya na bidhaa zao ni Bei sana, Wananchi ogopeni bidhaa zao mtanishukuru badaeWatasema una chuki, ila ni ukweli kidogo,kuna mtambo jamaa qlichukua ulikufa after miaka 2 ,ukiwasha saa saa moja usiku mpaka saa tatu charge imeisha wakati mchana kulikuwa na jua na hukutumia
Vipi mkuu hawa zola unauzoefu nao?Naifahamu sana hii Kampuni ni ya MAJAMBAZI,mimi mwenyewe nilinusurika zaidi ya mara 10 kuuawa na wateja vijijini baada ya kuwauzia Sola kumbe mbovu,ni Majambazi kwelikweli,kipindi naondoka ilikuwa inaongozwa na Jambazi moja la Kenya linaitwa Godfrey Mugambi,ni MAJIZI haya na bidhaa zao ni Bei sana, Wananchi ogopeni bidhaa zao mtanishukuru badae
Itakuwa walikuzurumu mkuu, mimi nina Tv ya mobisol 32" toka 2018 mpaka leo haina shida kabisa na niliichukua baada ya mtu kushindwa kuilipia inawezekana ikawa zaidi ya hapoHiyo ni Kampuni ya Majambazi na MATAPELI wakubwa,nilifanya kazi kama Area Manager kwa miaka 6 ninawafahamu nje ndani,mnauza na kukopesha Sola mbovu tena kwa Bei kubwa,Wana JF msidanganyike na misola ya Mysol zamani walikuwa wanaitwa Mobisol,ni Kampuni ya Majambazi na MATAPELI wakubwa,iogopeni kama mnavyouogopa UKIMWI
dada yangu ana mtambo wa watts 50 toka 2017 mpaka leo anao na sijawahi ona akilalamika.Itakuwa walikuzurumu mkuu, mimi nina Tv ya mobisol 32" toka 2018 mpaka leo haina shida kabisa na niliichukua baada ya mtu kushindwa kuilipia inawezekana ikawa zaidi ya hapo
Mimi nilifanya kazi kwenye hii kampuni, kipindi ikiitwa mobisol. Ni kampuni Bora sana ya Solar. Nadhani wewe ulikoseshwa kazi kwenye lile sakata la kupunguza watumishi unproductiveNasemea uhalisia wa kufanya kazi na hiyo Kampuni,itakuwa ulibahatika tu,lakini ukweli ni kwamba Kampuni hiyo ina Kesi Mikoa yote ilipo na Ofisi kwa wateja kuifungulia Kesi,ndio maana watu wengine wameamua kuwa wezi tu kuiibia Kampuni,narudia tena kusema hiyo ni Kampuni ya Sola ya Majambazi na MATAPELI ndio maana kila mwaka inabadilisha majina,ni Kampuni ya WEZI nami nilikuwa sehemu wa Wezi hao kuwaibia Wananchi masikini vijijini
Hapa umedanganya mkuu. Katika kampuni hiyo, Cheo cha Area Manager kilianza kutumika mwaka 2020, kabla ya hapo kulikuwa na cheo cha Sales Agent Coordinator (SAC) Sasa wewe miaka 6 uliitoa wapi? Unless ulianza na cheo cha SAC mwaka 2017wakubwa,nilifanya kazi kama Area Manager kwa miaka 6
Labda wewe ndiye ulikuwa jambazi wakakufukuza. Nilifanya nao kazi kwa miaka 2 pale makao makuu Arusha (Nane Nane, njiro) nikawaaga kwa amani kabisa nikaenda kusoma. Maslahi yalikuwa yanaridhisha Sana. Tena walitaka kunipa gari la kazi mimi nikakataa, Nilikuwa sijui kuendesha by thenNaifahamu sana hii Kampuni ni ya MAJAMBAZI,mimi mwenyewe nilinusurika zaidi ya mara 10 kuuawa na wateja vijijini baada ya kuwauzia Sola kumbe mbovu,ni Majambazi kwelikweli,kipindi naondoka ilikuwa inaongozwa na Jambazi moja la Kenya linaitwa Godfrey Mugambi,ni MAJIZI haya na bidhaa zao ni Bei sana, Wananchi ogopeni bidhaa zao mtanishukuru badae
Kijana,nilikuwepo enzi za kina Mbonny na Evaline,akaja Mugambi,Veronika Kahama na wajingawajinga wengine,narudia tena kusema kwamba MySol au zamani Mobisol/Engie ni Kampuni ya MAJAMBAZI NA WEZI ndio maana ina makesi Nchi nzima, Wafanyakazi wenyewe wezi na mimi nilikuwa mmoja waoLabda wewe ndiye ulikuwa jambazi wakakufukuza. Nilifanya nao kazi kwa miaka 2 pale makao makuu Arusha (Nane Nane, njiro) nikawaaga kwa amani kabisa nikaenda kusoma. Maslahi yalikuwa yanaridhisha Sana. Tena walitaka kunipa gari la kazi mimi nikakataa, Nilikuwa sijui kuendesha by then
Wakupe gari ya kazi kwa Cheo gani ulichokuwa nacho acha UONGO jinga wewe[emoji1787][emoji1787]Labda wewe ndiye ulikuwa jambazi wakakufukuza. Nilifanya nao kazi kwa miaka 2 pale makao makuu Arusha (Nane Nane, njiro) nikawaaga kwa amani kabisa nikaenda kusoma. Maslahi yalikuwa yanaridhisha Sana. Tena walitaka kunipa gari la kazi mimi nikakataa, Nilikuwa sijui kuendesha by then
shukrani kwa anaglizo.Mkuu nahitaji solar ya mkopo,ushauri pleaseNaifahamu sana hii Kampuni ni ya MAJAMBAZI,mimi mwenyewe nilinusurika zaidi ya mara 10 kuuawa na wateja vijijini baada ya kuwauzia Sola kumbe mbovu,ni Majambazi kwelikweli,kipindi naondoka ilikuwa inaongozwa na Jambazi moja la Kenya linaitwa Godfrey Mugambi,ni MAJIZI haya na bidhaa zao ni Bei sana, Wananchi ogopeni bidhaa zao mtanishukuru badae