Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Anayeanza anapokea maximum elfu 20Maximum mnakopesha Tsh ngapi? Anayeanza anaweza chukua Tsh ngapi? Vigezo vyenu? Mmesajiliwa?
Minimum elfu 10Maximum mnakopesha Tsh ngapi? Anayeanza anaweza chukua Tsh ngapi? Vigezo vyenu? Mmesajiliwa?
Hehehe aiseeh huu nao mkopo...utani mwingine buanaAnayeanza anapokea maximum elfu 20
hivi mko serious na maisha kweli?Anayeanza anapokea maximum elfu 20
au unamaanisha dola elfu 20?hivi mko serious na maisha kweli?
Huwa kuna siku inasaidia sana pesa kama hii. Unaangalia huku na huku huoni wa kukukopesha.Anayeanza anapokea maximum elfu 20
Ukilipa wanakuongezea amount ya kukopa mpaka mamilioni hukoHuwa kuna siku inasaidia sana pesa kama hii. Unaangalia huku na huku huoni wa kukukopesha.
Dah....unakopa kwa riba ya 25% .... Utafanya Biashara gani?Ukilipa wanakuongezea amount ya kukopa mpaka mamilioni huko
Hawa jamaa sijui wakoje wajaribu na nyie muone? Siku moja nilijaribu nikakopeshwa 20,000 kwa riba ya 20% yaani nilipe 24,000. Wakanidanganya kuwa kama ni mlipaji mzuri utapanda mpaka 1,000,000. Baada ya siku mbili nikarejesha 24,000 na kesho yake nikawa na sifa ya kukopa 30,000 kwa kurejesha 36,000. Nikakopa hiyo 30,000 na baada ya siku mbili nikarejesha 36,000 nikitegemea sasa mimi ni mkopaji mzuri kwasababu ndani ya wiki wamepata faida ya 10,000. Cha ajabu baada ya kurejesha hiyo 36,000 nikitegemea sasa nitaweza kukopa zaidi, nilipotaka kukopa mpaka kesho naambiwa "Ombi lako halijafanikiwa. Mfumo wetu umetazama ombi lako na data zako. Kwa sasa hujafikia vigezo vya kupata mkopo"Hehehe aiseeh huu nao mkopo...utani mwingine buana
brain is the beautiful part of the body.
Basi ni uhuni huu.Hawa jamaa sijui wakoje wajaribu na nyie muone? Siku moja nilijaribu nikakopeshwa 20,000 kwa riba ya 20% yaani nilipe 24,000. Wakanidanganya kuwa kama ni mlipaji mzuri utapanda mpaka 1,000,000. Baada ya siku mbili nikarejesha 24,000 na kesho yake nikawa na sifa ya kukopa 30,000 kwa kurejesha 36,000. Nikakopa hiyo 30,000 na baada ya siku mbili nikarejesha 36,000 nikitegemea sasa mimi ni mkopaji mzuri kwasababu ndani ya wiki wamepata faida ya 10,000. Cha ajabu baada ya kurejesha hiyo 36,000 nikitegemea sasa nitaweza kukopa zaidi, nilipotaka kukopa mpaka kesho naambiwa "Ombi lako halijafanikiwa. Mfumo wetu umetazama ombi lako na data zako. Kwa sasa hujafikia vigezo vya kupata mkopo"
Kwa hiyo hawa mabwana wana lao jambo wanalotafuta ili mwisho wa siku wakuingize mjini na wala hawana uwezo wa kukopesha hela ya maana.
Usidanganye watu sio kweli.Ukilipa wanakuongezea amount ya kukopa mpaka mamilioni huko
Teh kumbe ndio ipo hiviHawa jamaa sijui wakoje wajaribu na nyie muone? Siku moja nilijaribu nikakopeshwa 20,000 kwa riba ya 20% yaani nilipe 24,000. Wakanidanganya kuwa kama ni mlipaji mzuri utapanda mpaka 1,000,000. Baada ya siku mbili nikarejesha 24,000 na kesho yake nikawa na sifa ya kukopa 30,000 kwa kurejesha 36,000. Nikakopa hiyo 30,000 na baada ya siku mbili nikarejesha 36,000 nikitegemea sasa mimi ni mkopaji mzuri kwasababu ndani ya wiki wamepata faida ya 10,000. Cha ajabu baada ya kurejesha hiyo 36,000 nikitegemea sasa nitaweza kukopa zaidi, nilipotaka kukopa mpaka kesho naambiwa "Ombi lako halijafanikiwa. Mfumo wetu umetazama ombi lako na data zako. Kwa sasa hujafikia vigezo vya kupata mkopo"
Kwa hiyo hawa mabwana wana lao jambo wanalotafuta ili mwisho wa siku wakuingize mjini na wala hawana uwezo wa kukopesha hela ya maana.