Pata mkopo rahisi zaidi na Tala Tanzania

Mkuu mm ndio naisikia leo hii kampuni, lkn pamoja na hilo bado hujawa na uwezo wa kukopa mil 1. Sasa ww umetoka kukopa TZS 30,000 na kurejesha TZS 36,000/- unataka hapo hapo upande mpk mil 1? Hebu tuweni wakweli jamani, hata kama biashara ni yako wewe ungefanya hicho kitu kweli. ?
 
Hiv kupata mkopo unatakiwa sim card unayotumia kuingilia iwe hyo hyo ya Tigo? Au hata kama unatumia data za halotel poa tu..!?
 
Kiongozi hujanielewa. sasa si wangeongeza may be this tme 50,000 ambayo ningeilipa na riba yake 60,000 mpaka nafika kiwango cha juu? soma uelewe. wao walikata 30,000 kwa vile hata cha kunikopesha hawana
 
Hahaha riba ya asilimia 25 ni unyonyaji mkubwa sana.
 
Wapendwa sina mengi nadhani kichwa cha habari hapo juu kimejitosheleza namba yangu ni 0712069469. Pia kama wewe ni member nakuomba unitumie mwaliko
 
Last edited by a moderator:
mwaliko wa nini we download app yao uanze kujichukulia mtonyo
 
Kuna TALA na Branch. wote wanatoa huduma ya mikopo. Ila mimi kwa ushauri wangu kama unahitaji mkopo wa hela ndogo na fasta. hao jamaa wako vizuri kwenye hio huduma. ila kama unatafuta mkopo wa mamilion, bora uende benk au saccos.
 
Hahaha
 
Akijibu nistue
 
Mkuu wewe ni mwajiriwa wa tala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…