Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 475
- 936
Hiyo bei ni kwa mlango wa alluminium na sio PVC...PVC huwezi kupata kwa bei hiyoWenzio wanafanya kwa 200 mpaka 250
Hata Mimi nimeshangaa,anatuona watu wa jf wote tunatoka MwamalandalaHiyo bei ni kwa mlango wa alluminium na sio PVC...PVC huwezi kupata kwa bei hiyo
Plastic ziko za aina nyingi ila uPVC(Unplasticised Polyvinyl Chloride) ni material maalum kwa ajili ya kutengenezea milango na madirisha ya uPVCKwanini usiSeme moja kwa Moja kua unauza mlango WA Plastiki?
Plastic ziko za aina nyingi ila uPVC(Unplasticised Polyvinyl Chloride) ni material maalum kwa ajili ya kutengenezea milango na madirisha ya uPVC
Mkuu hata chupa ya maji ni ya plastic hata mpira wa maji ni wa plastic lakini plastic yake sio sawa na PVCIla bado ni plastic
Oooh kumbe, ile mnayoita alucobond je unaifanya kwa bei gani?Hiyo bei ni kwa mlango wa alluminium na sio PVC...PVC huwezi kupata kwa bei hiyo
Alucobond na curtain wall tunafanya kwa square meter ambayo ni 300,000 kwa kila squaremeterOooh kumbe, ile mnayoita alucobond je unaifanya kwa bei gani?
Kama hii ulitengeneza kwa Bei gani?Hii milango ni mizuri sana na inapendeza ..wateja leteni kazi tufanue kazi
Mpaka mtuue yaniAlucobond na curtain wall tunafanya kwa square meter ambayo ni 300,000 kwa kila squaremeter
Happ ndani kuna grill? Kama hamna hivyo vioo vipoje kiulinzi?Curtain Wall & Alucobond
450,000 kwasababu huo mlango una panel pamoja na kioo sio full panelKama hii ulitengeneza kwa Bei gani?
KAZI ni kipimo cha utu
Ndani tunafunga chuma za mullion halafu ndo tunafix vioo juu ya hizo chuma kwhy hakuna haja ya kuweka tena grill..kama ni kuongeza usalama unaweza kugawa vyumba vidogo vidogo ambavyo ni ngumu kwa mtu kupenya hata akivunja kiooHapp ndani kuna grill? Kama hamna hivyo vioo vipoje kiulinzi?