Pata nafasi ya kusoma chuo haraka, bila usumbufu na kwa gharama nafuu sana

Joined
Mar 15, 2013
Posts
24
Reaction score
9
Habari za majukumu ndugu zangu,EID MUBARAKA

Iwapo una mwanao au ndugu yako amehitimu kidato cha nne au cha sita kwa ufaulu wowote ule na ungependa ajiunge na kozi mbalimbali za ngazi ya cheti au diploma, TAFADHALI nafasi ziko wazi.PIGA SIMU NO. 0756082356,0786088394 ili upewe maelekezo kujiunga na chuo mara moja na kwa gharama nafuu sana.

Kama unadhani mwanao hajafaulu vizuri, piga simu pia uelekezwe kozi anazopaswa kusoma kulingana na ufaulu wake.

Tafadhali usipuuze taarifa hii mjulishe na mwingine ambaye hajapata nafasi yoyote ya kusoma chuo.
SHUKRANI
 
Kujiunga na chuo chochote? Unamaanisha unatoa huduma ya career counseling ama?
 
Afadhali umesema kwa "ufaulu" wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…