House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

chofachogenda

Senior Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
107
Reaction score
199
Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha).

Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako. Pia nyumba zipo nyingi zaidi ya hizo za bei ya chini zaidi na za bei ya juu zaidi.

Kwa mawasiliano zaidi na maelekezo piga 0716694624.

1629798322062.jpeg
1629798389033.jpeg
1629798440595.jpeg
1629798477766.jpeg

1629798518843.jpeg
1629798594547.jpeg
1629798992951.jpeg
1629799026357.jpeg

1629799178685.jpeg
1629799267420.jpeg
1629799398718.jpeg
1629799485624.jpeg
 
Malamba mawili au kuna malamba nisiyoijua?!
 
Pia Kuna kiwanja mita 20 kwa 60 milioni 20 ila ukitaka 20 kwa 20 unakatiwa mil 7.
Kwa kuongezea hiyo nyumba nyeupe ya milion 20 ya vyumba sita ina wapangaji kwa hiyo kama ukitaka kununua na kupangisha kama hutaki kukaa mwenyewe ni vizuri zaidi
 
Maramba miwili KMS ngapi kutoka lami
 
Vipi kule king'azi kwa mnyamwezi na kwa mama hakimu kesi za maeneo hayo imeshaisha tuje tununue au bado, Nina heka zangu mbili hapo nazilia timing tu
 
kweli viwanja gharama eti 10x10 milioni mbili
 
Back
Top Bottom