chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
Malamba mawiliMalamba mawili au kuna malamba nisiyoijua?!
Pia Kuna kiwanja mita 20 kwa 60 milioni 20 ila ukitaka 20 kwa 20 unakatiwa mil 7.
Kwa kuongezea hiyo nyumba nyeupe ya milion 20 ya vyumba sita ina wapangaji kwa hiyo kama ukitaka kununua na kupangisha kama hutaki kukaa mwenyewe ni vizuri zaidi