Vandma Pro
Member
- Aug 30, 2022
- 61
- 81
Bei zikoje mkuu kwa adobe master collection na hizo za games ambazo zipo na setup?Anaehitaji softwares setup za Pc pamoja na games aje tuyajenge.
Na program nyinginezo nyingi.... 0618525410/0766169485
- Adobe Photoshop, illustrator, after effects, premiere pro, InDesign n.k
- Adobe master collection, 2021, .... 2024,2025
- Microsoft office 2016 mpaka 2024.
- Fifa,pes,Eurotruck simulator,GTA grand theft.
Program 5000/=Bei zikoje mkuu kwa adobe master collection na hizo za games ambazo zipo na setup?
Upo maeneo gani?Nnashida na games napataje?
Hii ime include adobe professional ile adobe reader and writer?Master collection 15,000/= - 20,000/=
Adobe master collection ina , Adobe Photoshop, illustrator, after effects, InDesign, Lightroom n.kHii ime include adobe professional ile adobe reader and writer?
Kuniuliza hivo kwamba unafanya deriver au inakuwajeUpo maeneo gani?
Nijue kama uko Dsm.Kuniuliza hivo kwamba unafanya deriver au inakuwaje
Tulio dar tunapataje hudumaNijue kama uko Dsm.
Huduma zinapatikana hapa temeke taifaTulio dar tunapataje huduma