Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kumbe sio mkubwa kivile kama tulivyoaminishwaHuyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.
Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho.
Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.
Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.
Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.
Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!
Si ajabu yangesemwa mengi sana.
Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.
Ingiza sasa na zile imani za kijinga.
Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.
Watu wangehaha kwenda kwa waganga [emoji1787] ili kujua kulikoni!
Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.
Uliaminishwa ni mkubwa kiasi gani?Kumbe sio mkubwa kivile kama tulivyoaminishwa
Kwa anaconda labda huyo ana wiki mojaKumbe sio mkubwa kivile kama tulivyoaminishwa
Nyani Ngabu wewe unasema ecosystem mambo ya kimagharibi hayo, sasa tumuulize Mshana Jr nyoka ukikutana na nyoka anavuka barabara ni ishara ya nini?Huyo kwenye video ni chatu wa Amerika ya Kusini, ajulikanaye kama anaconda.
Inadaiwa kuwa hapo ni kwenye mji wa Porto Velho.
Joka lilikuwa linavuka barabara na watu wakasimamisha magari yao na kuliacha livuke kwa amani na utulivu na bila kulidhuru wala kuliua.
Wengine wakashuka toka kwenye magari yao na kulipiga picha za kawaida na video kwa kutumia simu zao.
Hatimaye joka likamaliza kuvuka na likatokomea kwenye kichaka.
Hiyo ingetokea hapa Tanzania....hahahaa!
Si ajabu yangesemwa mengi sana.
Kwanza, nadhani lingeuliwa. Kama si kwa kukanyagwa na gari basi kwa kupondwa mawe.
Ingiza sasa na zile imani za kijinga.
Si ajabu kuna watu ambao wasingelala usiku kwa kuamini kuwa limetumwa.
Watu wangehaha kwenda kwa waganga 🤣 ili kujua kulikoni!
Wakati hakuna lolote zaidi ya ecosystem kuwa kazini.
Anaconda ana ukubwa kiasi gani?Kwa anaconda labda huyo ana wiki moja
Atashambuliaje gari ilhali kakanyagwa na matairi?Hata Tanzania inatokea ukijaribu kumgonga utaona kinachotokea inabidi ufunge vioo kwani atashambulia kwa hasira ndio maana huwezi kukuta nyoka amegongwa
Hahahaaaa!Nyani Ngabu wewe unasema ecosystem mambo ya kimagharibi hayo, sasa tumuulize Mshana Jr nyoka ukikutana na nyoka anavuka barabara ni ishara ya nini?
Yup!Nimeamini vile husemwa ukitaka kumkimbia chatu asikufuate, vuka upande wa pili wa barabara ya lami, huwa anapata shda sana kutambaa kwenye lami, na hii iko kwa majoka na nyoka wote.
💯%Haha viumbe wala hawana tatizo na Mtu.ila ukiwachokoza ndo wanajihami..kama Sie binadamu tunavojilinda.
Kabisa yani.....[emoji817]%
Ahahaaaaa yeah, nakumbuka sana hiyo!zamani kabla ya TV kuja tulikuwa tunasimuliwa ukipita msituni ukasikia harufu ya pilau ujue chatu anawinda kimbia mbio zote
Ni ngumu sana kumkanyaga nyoka ukimwona anakatiza barabarani mwache apite vinginevyo kama hujafunga kioo utapata madhara makubwaAtashambuliaje gari ilhali kakanyagwa na matairi?